Meneja wa supastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ambaye ni Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale ‘Babutale’ amemfungulia njia kijana mwenye kipaji ‘Founder TZ’ ambaye ameonyesha uwezo wake