7 years agoWAZIRI WA AFYA AJIUZULUPicha hii siyo ya tukio halisi Waziri wa Afya wa Tunisia, Abdurrauf esh-Sherif amejiuzulu wadhifa wake baada ya kutokea vifo vya watoto 11 katika hospitali moja ya serikali mjini Tunus.Read More