7 years agoTFF WAIKANA JEZI YA MSALABAShirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetolea ufafanuzi juu ya uwepo wa msalaba kwenye jezi ya timu ya taifa ‘Taifa Stars’, ambayo imezua gumzo mitandaoni, na kusema kwamba hawaitambui jezi hiyo.Read More