8 years agoJoh Makini Afunguka Uhusiano Wake wa Kimapenzi na Mimi MarsMwamba wa Kaskazini anayesumbua masikio ya wapenda burudani na ngoma ya ‘Mipaka’ Joh Makini amepangua tetesi za kujihusisha kimapenzi na mwanamuziki Mimi Mars ambaye pia ni mdogo wake msanii VanesaRead More