7 years agoMr,Misifa “Diamond Platnumz Alikuwa Hajui Kuimba”Aliyewahi uwa meneja wa msanii Daimond platinumz kipindi anaanza muziki, Mr Misifa amefunguka na kusema kuwa kipindi diamond anamfuata na kutaka amsimamie alikuwa hajui kuimba kabisa lakini alimkubali na kuanzaRead More