MSANII wa lebo ya Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ amewashangaa wanaomsema vibaya kuwa anajichubua, kitendo ambacho hajawahi kukifikiria katika maisha yake. Akipiga stori na Ijumaa Wikienda, Rayvanny alisema