Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala hahangaiki sana…Anaingia kwenye PHONEBOOK yake anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba hayawezi kumuangusha…AnaCOMPOSE Meseji Tamuuu ambayo kila danga likipokea linahisi hiyo ni Meseji yake