7 years agoHuyu Anatafuta Mwanaume wa Kuwa Mpenzi Wake…Atakulipa Mil 178..Mjue hapaMrembo Jane Park (23) wa Scotland ambaye alishinda zaidi ya Tsh. Bilioni 2 kwenye bahati nasibu, baada ya kuachana na mpenzi wake ametangaza kutafuta mwanaume wa kuwa nae kwenye uhusianoRead More