Mwigizaji wa sinema za Kibongo anayefanya vyema pia kwenye Muziki wa Mduara, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amedaiwa kumpindua mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kwa mpenzi wake, Ali Kiba ‘King Kiba’, Ijumaa