WATU 468 WAFUTIWA UANACHAMA WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF) KWA SABABU HIZI…SOMA ZAIDI HAPA
Mwandishi Wetu Katika kupambana na udanganyifu unaofanywa na wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wasio waaminifu jumla ya wanachama 468 wa mikoa mbalimbali wamefungiwa uanachama wao






















