Prof. Janabi: Kama Mwanaume unavaa suruali zaidi ya zize 40, mwanamke size 35 Afya yako iko hatarini
Mkurugenzi huyo Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo amesema Watu wenye uzito mkubwa wanapaswa kuchukua hatua za haraka kupunguza miili kabla hawajaingia






















