RC Rosemary Senyamue: Matokeo ya ziara ya Kidiplomasia ndani ya Jiji la Dodoma yameanza kuonekana
Matokeo ya ziara ya Kidiplomasia ndani ya Jiji la Dodoma iliyofanyika Mei 27, 2025 yameanza kuonekana kufuatia Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe. Saudi Al Hilal Shidhani kukabidhiwa hati ya ujenzi wa kituo cha utamaduni cha Ubalozi huo kinachotarajiwa kujengwa katika eneo la viwanja vya Mabalozi lililopo Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma. Hati hiyo … Continue reading RC Rosemary Senyamue: Matokeo ya ziara ya Kidiplomasia ndani ya Jiji la Dodoma yameanza kuonekana
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed