RC Daniel Chongolo aipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Ileje kwa Kupata Hati Safi

Ileje, 10 Juni 2025 – Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mheshimiwa Daniel Chongolo, ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Ileje kwa kupata hati safi kutoka kwa Mkaguzi wa Hesabu za Serikali. Mhe. Chongolo alitoa pongezi hizo leo tarehe 10 Juni 2025, wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika kwa ajili ya kujadili hoja za Mkaguzi. … Continue reading RC Daniel Chongolo aipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Ileje kwa Kupata Hati Safi