MBUNGE MAVUNDE AGAWA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU YA UMITASHUMTA JIJINI DODOMA

Admin Updates2 years ago5 Views

wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde leo amegawa vifaa vya michezo kwa Timu ya UMITASHUMTA Dodoma Jijini inayoshiriki mashindano ya michezo ya Shule za Msingi Mkoani Dodoma.

Mavunde amegawa vifaa hivyo vyenye thamani ya Tsh 3,000,000 leo wakati akizungumza na wanafunzi hao ambao wameweka kambi ya mafunzo katika Shule ya Sekondari Dodoma na kuwataka kuwahakikisha wanafanya vizuri katika mashindano hayo ambayo yanashirikisha na Timu zingine za wilaya za mkoa wa Dodoma.

kuunga mkono juhudi za kuimarisha michezo Jijini Dodoma,Benki ya Watu wa Zanzibar(PBZ),Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) na Kampuni ya Nicas Alminium ni miongoni mwa Kampuni zilizochangia vifaa vingine vya michezo.

kwa niaba,Afisa Elimu Msingi Jiji Mwl. Prisca Myalla* amemshukuru Mbunge Mavunde na wadau wote wa michezo kwa kuwatia moyo wanafunzi hao na kuahidi kusimamia ipasavyo timu hiyo ya wanafunzi ili iweze kufanya vizuri katika mashindano hayo ya mkoa  na kuliletea sifa Jiji la Dodoma.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.