Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili mwaka 2025

Tarehe 10 Januari 2026, Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza rasmi Matokeo ya Mtihani wa Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (Form Two National Assessment – FTNA) kwa mwaka 2025. Tangazo hili limetolewa na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Said A. Mohamed, wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es … Continue reading Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili mwaka 2025