Jinsi ya Kujiajiri Kupitia Biashara ya Maandazi

Jinsi ya Kujiajiri Kupitia Biashara ya Maandazi,Katika kipindi ambacho watu wengi wanatafuta fursa za kujiajiri Tanzania, biashara ya chakula ni miongoni mwa biashara ambazo zinaweza kuanzishwa kwa mtaji mdogo na kuendelezwa hatua kwa hatua. Moja ya biashara hizo ni biashara ya kupika na kuuza maandazi. Maandazi ni chakula kinachopendwa na watu wengi Tanzania na katika … Continue reading Jinsi ya Kujiajiri Kupitia Biashara ya Maandazi