BREAKING: Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Nne 2025

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025, Januari 31, 2026 itakuwa tarehe ya kihistoria kwa maelfu ya wanafunzi wa Tanzania waliomaliza mtihani wa Kidato cha Nne 2025. Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limeweka wazi matokeo ya Mtihani wa Cheti cha Elimu ya Sekondari (CSEE 2025), maarufu kama Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 au Matokeo Form Four 2025. Kulingana na tangazo … Continue reading BREAKING: Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Nne 2025