Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan ameamzungumza na wananchi leo 09/05/2022 kupitia vyombo mbalimbali vya habari akiwa ikulu jijini Dar es Salaam huku ajenda kuu ikiwa ni kuwaelezea wananchi namna serikali ilivyoamua kuweka mikakati maalum wa kuwasaidia wananchi kutokana na kupanda kwa gharama za maisha kuliko sababishwa na kupanda kwa bei za mafuta katika soko la dunia.
Aidha katika hotuba yake hiyo Rais Samia amemuagiza waziri wa nishati Mhe January Makamba kutoa ufafanuzi bungeni kesho juu ya hatua zitakazochukuliwa na katika kupunguza bei ya mafuta na kuwasaidia wananchi kupunguza ukali wa maisha ambapo Rais Samia amesema gharama hizo zitashuka kuanzia tarehe 01/06/2022.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







