Pichani ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Ndugu Daniel Chongolo akimvisha medali kapteni wa timu ya K.C.C.A ya Uganda John Revita baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya timu ya Aigle Noir Burundi na kuchukua kombe la Nkurunziza Cup, mechi hii imechezwa kwenye uwanja mpya na wa kisasa wa Nkurunziza Peace Park Complex Makamba nchini Burundi ambapo katika ziara yake hiyo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo Ameambatana na Naibu katibu mkuu CCM Zanzibar Juma Mabodi pamoja na Katibu wa Oganaizesheni na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Ngemela Lubinga
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Ndugu Daniel Chongolo akishuhudia mchezo huo kwenye uwanja mpya na wa kisasa wa Nkurunziza Peace Park Complex Makamba nchini Burundi
pamoja na Katibu wa Oganaizesheni na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Ngemela Lubinga akijadiliana na kufurahia jambo na mmoja wa viongozi wa CCM katika tukio Hilo
Moja ya Picha katika tukio hilo ikimwonyesha Katibu Mkuu Chongolo akijadili na kufurahia Jambo na mmoja wa Viongozi wa Burundi waliohudhuria wakati wa sherehe za ufunguzi wa uwanja wa michezo wa Nkurunziza Peace Park Complex.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33












