Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule ameongoza kikao chake na wazee wa Mkoa wa Dodoma kilichofanyika wiki hii katika ukumbi wa Chuo cha Mipango jijini Dodoma.
Akizungumza mara baada ya Kumalizika kwa Kikao hicho ambacho moja ya mambo aliyoyaongelea ni Mikakati yake ya kuhakikisha Mkoa wa Dodoma unainuka katika suala la elimu na hasa kwa kuhakikisha waalimu wakuu wa shule za Sekondari na Msingi wanatoa ripoti ya wanafunzi ambao kila wiki wanakuwa watoro kwani ni moja ya njia ya kudhibiti tatizo hilo.
Pamoja na Mengine Mhe.Senyamule amesisitiza umuhimu mkubwa wa wananchi kuheshimu Viongozi wa serikali wakiwepo wa ngazi zote pamoja na Mhe Rais huku wakimwombea Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwani anafanya kazi kubwa sana ya kuliongoza Taifa letu la Tanzania ili azidi kusonga mbele na kutovunjwa moyo na baadhi ya watu wasioona kazi kubwa anayoifanya.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





