Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA tayari imeanza kutekeleza ushauri wa wadau mbalimbali ikiwepo viongozi wa serikali ikiwataka waanze kutumia teknolojia mbadala ambayo ni ya gahrama nafuu na inayopunguza uchafuzi wa mazingitra huku kazi ya ujenzi ikikamilika kwa haraka na kwa ubora pia.
Akizungumza na mwandishi wa makala hii Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff amesema TARURA kama mdau na mmoja wa Taasisi yenye dhamana ua ujenzi wa barabara za vijijini na mijini tayari wamepokea mawazo na ushauri wa viongozi mbalimbali juu ya kitumia teknolojia mbadala katika ujenzi wa barabara inzaojenga Vijijini na Mijini kwani ni Teknolojia iliyothibitishwa kwa zaidi ya miaka kumi na tano ya majaribio ya maabara na nyanjani.
Mhandisi Seff amesema Sisi kama Taasisi iliyopewa dhamana ya ujenzi wa barabara za Mijini na Vijijini tumeangalia mambo mengi Muhimu kabla ya kuanza kutumia teknolojia hii ambapo kati ya hayo hii teknolojia inasaidia mambo yafuatayo:-
• Hupunguza kiwango cha kaboni katika mchakato wa ujenzi hadi 75%.hivyo ni salama zaidi kwa mafundi,watu miaji wa barabara na nazubgira pia.
• Hupunguza gharama za ujenzi wa barabara hadi 50%. hivyo unaweza kutumia fedha kidogo kujenga barabara nyingi.
• Hupunguza gharama za matengenezo ya barabara hadi 60%. kwa sababu zinadumu muda mrefu.
• Imeundwa kwa ajili ya barabara za umma, za kibinafsi, za madini, za kilimo.
• Fomula isiyo na sumu, rafiki wa mazingira kabisa.
• Hakuna vifaa maalum vinavyohitajika kwa taratibu za ujenzi.
Ikumbukwe Tarura sasa kwa kulithibitisha hili imeanza ujenzi wa Barabara iliyoko Ilazo jijini Ddodoma ambapo ujenzi wake unatekelezwa na unatarajia kumalizika kwa kiwango kilichopangwa kwani mkandarasi ameshasaini mkataba na tayari kazi inaendelea alimalizia Mhandisi Seff.
Kwa sasa Teknolojia hiyo ya ujenzi wa barabara inatumika sehemu mbalimbali duniani ikiwepo Visiwani Zanzibar ambapo imeonyesha matokeo bora kwa barabara iilikotumika.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33








