
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amekutana na Bilionea Laizer katika mkutano wa shina namba 26 tawi la Naisinyai Wilayani Simanjiro.
Bilionea Laizer ni moja ya wanachama wa CCM katika shina na tawi hilo, ambalo Katibu Mkuu Ndg. Chongolo leo tarehe 08 machi, 2023 ameshiriki, amesikiliza na kutatua kero za wananchi wa eneo hilo kwa kutoa maelezo mbalimbali kwa serikali katika masuala ya barabara, maji na mengineyo.
Mkuu yupo Mkoani Manyara kwa ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani, kuimarisha uhai wa chama pamoja na kusikiliza na kutatua kero za wananchi ambapo ameambatana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Ndg. Sofia Mjema pamoja na Katibu wa NEC, Oganaizesheni Ndg. Issa Haji Gavu.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







