Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo akiendelea na ziara yake mkoa wa Manyara wilayani Simanjiro amelala nyumbani kwa mwenyekiti wa shina namba 35, Tawi la Njiro Kata ya Orkesumet kwa Bwana Abdul Mwinyihamisi, ikiwa ni sehemu ya Chama kushuka kwa Wanachama.
Chongolo amewashukuru sana na kuwapongeza wenyeviti wa mashina nchi nzima kwa kuwa na moyo wa kujitolewa wa kufanya kazi wakati wote wa ujenzi wa Chama, katika imani ya Chama ya utu, usawa na udugu, ambapo amewaomba kuendelea hivyo kwani moyo huo ndio msingi wa uimara wa chama chetu.
Chongolo yupo mkoani Manyara kwa ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani, kuimarisha uhai wa chama pamoja na kusikiliza na kutatua kero za wananchi, ambapo ameambatana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Sofia Mjema pamoja na Katibu wa NEC, Oganaizesheni Issa Haji Gavu.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









