
Mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Afya na Sayansi shirikishi ( CUHAS) cha Bugando mkoani Mwanza amekamatwa na Jeshi la Polisi wakati alipojaribu kuwalaghai wazazi wake kuwa ametekwa na watekaji wanahitaji fedha ili waweze kumuachia.
Kwa mjibu wa kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema, mwanafunzi huyo alijiteka na kukaa gesti moja iliyopo Igongo katika chumba namba 103 kwa lengo la kujipatia kipato.
“Huyu alikuwa amepumzika kitandani miguu juu maisha yanaendelea na yeye alikuwa anaendelea kunywa bia zake, Polisi baada ya kumkamata tulimhoji na alikiri kuwadanganya wazazi na viongozi wa chuo kwamba alikuwa ametekwa ili apewe fedha aendelee kula starehe,” amesema kamanda Mutafungwa.
Kamanda Mutafungwa, akizungumza na waandishi wa habari Jijini Mwanza, amewahiza vijana kuacha janjajanja kwa kuwa wameaminiwa na familia zao kwa kuwalipia gharama kubwa katika vyuo kuvumilia na kusoma kwa bidii mpaka pale watakapo hitimu masomo, waende kutumia fedha zao wenyewe pindi watakapopata ajira.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






