Kuelekea Mechi ya Ligi Kuu Ya NBC Simba Sc dhidi ya Polisi Tanzania kesho katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi, Kocha Msaidizi wa Simba Sc Juma Mgunda ameelezea maandalizi yao yalivyo mpaka sasa.
Mgunda ameesema hayo leo wakati akizungumza na wanahabari kuelekea mchezo huo huku akitaja mastaa watakaoukosa mchezo huo.
“Maandalizi yote ya kucheza na timu nzuri ya Polisi hapo kesho yamekamilika. Huu ni mchezo muhimu wa Ligi na ni muhimu kwetu. Ilituonekane tumeshiriki vizuri ligi lazima tuucheze.
“Sisi tumejipanga kwa sababu tunajua ni muhimu ili kumaliza ligi vizuri. Ni mechi ambayo ina umhimu wa kipekee.
“Wachezaji ambao tutawakosa ni Chama kwa sababu ana adhabu ya TFF ya kutocheza mechi tatu za ligi, pia tutamkosa Sadio Kanoute ambaye naye ana kadi tatu za njano na ameondoka kikosini yupo nchini kwao, waliobaki wote wapo tayari kuitumikia Simba kesho,” amesema Mgunda.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







