Napost video as Promised ni ninahamisha vitu vyangu vyote saa hii …
Nina Evidence za vitu vingi Kuhusu Abdul .. kuanzia kaz yake ya vingine .. Ni aibu sana … na mimi sio mke wake toka nilipomtumia message za kumtakia maisha mema … Sihitaji Mwanaume Muongo , Mnafiki anaekusema kwa watu wake na Mlinzi wa gate Hujui sijui kupika wakati hela Ya Chakula siku 10 mfululizo natoa mimi nikiwa nahangaika na watu wake kuanzia saa 11 na nusu asubuh!.
Ni mnyanyasaji sana he is 2Faced … kuhusu wateja wake ndio nna vitu vingi sijui naanzia wap nawaonea huruma sana .. Mnaemkimbilia kwa matatizo yenu He is an abuser anapenda Violence, both Physical and Emotional siku ananipiga nikaenda Lazwa hosp TMJ kisa Presha dada wa kaz alirekod video i wil post, he is a liar sijawahi Ona Mungu Wangu .. Licha Ya Yote nilimjali nilimpenda na kumuonyesha Upendo.
na nitasema kwa evidence itakuwa ni aibu kuliko .. Mnavyomuona anampiga Mwanamke kama anaua nyoka … ana matusi mazito ya wazazi anaweza akakuacha unaumwa ndan asikusaidie kitu akaenda lala nje hata week … Hana Utu .. Naapa Kwa Mungu alivyo na uhalisia ni vitu viwil tofauti, Ana mabaya mengi kuliko mazuri. walioongea wale wanawake kwa Mange Ni ukweli sana mi sijaanza ongea hii ni kidogo tu nimewajulisha siko nae tena sio mkewe Nimekaa nahangaika na mzazi wake kama wangu nnavyompenda babangu .. nahangaika nae mpaka basi alikuwa hata ndan hakai ananiacha mimi na mzazi wake nahangaika chakula and everthing Mzee wangu ainjoy ila nyuma ya Pazia Angejua Mzee Mtimkavu Mwanae alivyokuwa ananifanyia angeumia kuliko kawaida and i wil always love you Babangu asante kwa Upendo wako .. ila Mwanao aisee … ntarudi
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







