Msanii kutoka pale Usafini, Zuhura Othman ‘Zuchu’ ametupa mchapo mpya kwamba meno ya bandia anayoyabandika mdomoni mwake, yamegharimu takribani shilingi milioni 73.
Zuchu ametema exclusive hiyo leo alipokuwa akifanyiwa mahojiano na Wasafi FM na mtangazaji Lil Ommy ambaye alitaka kujua gharama ya baadhi ya vitu vyake alivyotumia ikiwemo cheni, pete na mazaga mengine.
“Kwa mfano kama meno alinunua around kama dola elfu thelathini (sawa na shilingi Mil. 73)” alisema Zuchu.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







