Watuhumiwa 10 Wakamatwa kwa mauaji Simanjiro, 7 Wafikishwa Mahakamani,
Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limewakamata watuhumiwa 10 wanaodaiwa kuhusika na makosa ya mauaji yaliyotokea katika Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara, katika kipindi cha kuanzia Oktoba 2025 hadi Oktoba 2026.
Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara Oktoba 26, 2026, imeeleza kuwa watuhumiwa saba (7) tayari wamefikishwa mahakamani, huku wengine watatu (3) kesi zao zikiendelea kufanyiwa upelelezi.
Miongoni mwa watuhumiwa ambao kesi zao bado ziko kwenye hatua ya upelelezi ni Emmanuel Paul na Abdalah Mohamed, wanaotuhumiwa kwa mauaji ya Leonard, mkulima mkazi wa Mtaa wa Madukani. Mtuhumiwa mwingine ni Mohamed Juma, anayetuhumiwa kwa mauaji ya mfanyakazi wake aliyejulikana kwa jina la Mohamed Kipara, mkazi wa Mtaa wa Madukani.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, watuhumiwa ambao kesi zao zimefikishwa mahakamani ni Ambrose Matepeli, Mudi Saidi, Ester Rokoine, Juma Athuman, Revocatus Finias, Juma Sembua na Juma Elifasi.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limewataka wananchi kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi na kutoa malalamiko yasiyo na ukweli. Badala yake, wananchi wanahimizwa kutoa taarifa sahihi kuhusu matukio ya uhalifu ili hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa dhidi ya wahusika.
Uzinduzi wa majengo ya wizara mbalimbali Mtumba Waahirishwa
Mfanyabiashara wa Zimbabwe Wicknell Chivayo na Mkewe Wafariki kwa Ajali ya Helikopta
Jifunze jinsi ya kujiajiri kupitia ufugaji wa kuku wa mayai Tanzania
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 - Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33