Madee afunguka:Yanga Niliyoiona Jana ni Kali Kuliko ya Msimu Uliopita, Ubingwa Wanachukua

2 years ago126 Views

 

Rapa na shabiki kindakindaki wa @yangasc, Hamadi Ally [@madeeali], asifu ubora wa Wananchi, awatabiria makubwa katika michuano ya klabu Bingwa Afrika ambayo msimu huu wanashiriki.

“Yanga nilioiona jana nikali kuliko nilioiona msimu uliopita. Nina kila sababu yakusema (YANGA BINGWA THIS SEASON).”
“Naiona Yanga hii ikicheza Nusu Fainal Club Bingwa.”
Mkali huyo wa ‘Staki Muziki’ ametoa mtazamo wake baada ya kuishuhudia @yangasc ikionesha soka safi katika michuano ya Ngao ya Jamii Jijini Tanga, iliyotamatika hapo jana usiku na @simbasctanzania kuibuka mabingwa kwa changamoto ya mikwaju ya penati 3-1.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.