Meneja wa supastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ambaye ni Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale ‘Babutale’ amemfungulia njia kijana mwenye kipaji ‘Founder TZ’ ambaye ameonyesha uwezo wake mkubwa wa kuimba kupitia mitandao ya kijamii
Mdau huyo mkubwa wa muziki ameshare video ya msanii huyo na kuandika; “Nimependa huyu dogo anavyoimba na kwakua tumeumbwa kuwainua wenzetu basi kwenye hii Wasafi Festiva.
“Pia ningependa kuona hi nyota ikiendelea kuwaka. Haya kwa anayemfaham huyu kilana aniletee kwene ofisi za wasafi. Nataka nimpe ofa ya Video na audio ili atimize ndoto zake. #theblackgodfather,” amesema Tale.
Kauli hiyo ni kama sheria na njia, kwani mdau huyo mkubwa wa muziki nchini Tanzania amewahi kufanya hivyo kwa wasanii wengi wachanga wa nje ya WCB na wakatoboa
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







