Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Rwanda, Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima amesema kuwa ameitazama timu ya Yanga inavyocheza kwa sasa ipo kwenye ubora wa hali ya juu sana kuliko Al-Merreikh ya Sudan.
Niyonzima ambaye amecheza Yanga kwa muda mrefu na kwa mafanikio makubwa kabla ya kwenda Simba Sc kisha kurejea tena Yanga kabla ya kurejea kwao Rwanda.
“Ni matumaini yangu makubwa kuwa klabu hii itaifunga Al-Merreikh nje ndani kutokana na ubora walionao Yanga Sc kwa sasa matumaini hayo ninayo kwa asilimia mia na mchezo huo sito ukosa nitautazama,” amesema Niyonzima.
Yanga imefanya usajili wa wachezaji kadhaa ambao mpaka sasa wameonekana kufanya vizuri ndani ya timu hiyo huku wakigawa dozi ya bao 5 katika mechi tatu mfululizo.
Septemba 16, 2023 Yanga watakutana na Al-Merreikh kwenye mchezo wa raunsi ya pili ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Afrika katika Dimba la Pele nchini Rwanda ambako Wasudan hao wamekita kambi.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







