Issue ya Mpanzu Kutopokea Simu za Simba ni Propaganda, Wanasemaje?Soma hapa
Issue ya Mpanzu kutopokea Simu za Simba ni Propaganda,Mpanzu leo atafika Misri na Simba watapost picha zake za mazoezi muda wowote.
Mpanzu ni mali ya Simba na ameongezewa mshahara kuelekea msimu ujao.
Yanga hawamchukui Mpanzu coz nafasi za wachezaji wa kigeni zimejaa.Hii ni propaganda ambayo imesukwa ili kutengeneza Tension,kisha badae klabu itaachi picha zake akiwa mazoezini.
Mpanzu ni Simba na Simu anapokea😄Nasikia mwenye kitengo chake cha habari toka jana anatafuta jinsi ya kuzima utambulisho wa Zimbwe pale Yanga,hivyo leo kaamuwa kuwatumia watu wake wa karibu kusambaza Propaganda ya Mpanzu kutopokea Simu ili wana-Simba waingiwe na Hofu na Shahuku ya kutaka kujua Kibisawala yuko wapi na siku ambayo Zimbwe atatambulishwa basi picha za Kibisawala zipositiwe kuzima utambulisho wa Left-back😄
Ukitaka kujua hulo chunguza taarifa ya Mpanzu kutopokea Simu imeanzia wapi utaelewa mchongo mzima😄
Anzisha tatizo kisha litatue mwenyewe uonekane umetumia nguvu na gharama kubwa kufanikiwa😄Ila wahuni tumesutukia mapema na kuja kuwajuza watu kuwa Mpanzu yuko njiani to Misri na Simu anapokea kitu ambacho kimeharibi mchongo wote😄
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






