IMEISHA HIYO: RASMI Fondoh Molene Ajiunga na USM Alger

Masama BlogKIMATAIFAMICHEZO9 months ago240 Views

DEAL DONE: RASMI Fondoh Molene Ajiunga na USM Alger

Klabu ya USM Alger ya Nchini Algeria imekamilisha Usajili wa beki wa kati wa Cameroon Che Fondoh Malone kutoka Simba SC baada ya kumaliza mkataba wake.

Kila kitu Kimekamilika, Tayari Mchezaji ametumiwa Tiketi ya Ndege kusafiri kuelekea Algeria Kujiunga na USM Alger.

Makubaliano ya mwisho yamekamilika tangu wiki iliyopita na wakati wowote kutoka sasa Che malone atasafiri kwenda Algeria kusaini mkataba

ANGALIA HAPA NAFASI MPYA ZA KAZI ZILIZOTANGAZWA LEO

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.