Loy Thomas Sabaya ameshinda kwa kishindo nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Arusha Loy Sabaya ameshinda kwa kupata kura 463 kati ya kura 907 zilizopigwa katika nafasi ya Mwenyekiti.
Uchaguzi huo umefanyika kwenye ukumbi wa Ukumbi wa Arusha International Conference Centre AICC ambapo kwa upande wa wapinzani wa Mwenyekiti huyo ambaye ni Dkt Daniel Mrisho Pallangyo aliyepata kura 374 ,Ndugu Solomoni Olesendeka Kivuyo aliyepata kura 59,Ndugu Edna Israel Kivuyo aliyepata kura 10 huku kura 1 ikiwa imeharibika.
Msimamizi wa Uchaguzi huo ambaye ni Anthony Mtaka Mkuu wa Mkoa wa Njombe amepengeza namna ambayo zoezi hilo la uchaguzi lilivyofanyika kwani lilikuwa la utulivu, amani kubwa kutokana hakukuwa na dalili zozote zenye kupelekea vurugu au vitendo vya rushwa
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







