Mpekuzi blog
RAIS
Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi
kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri
yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.
Kauli
hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM
Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi
zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala
wake.

Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo “Mimi msafiri bado niko njiani sijui lini nitafika… naulizia watu kule ninakokwenda….” na kukonga nyoyo za mashabiki wa muziki wa dansi waliomshangilia ambapo alijiamba kuwa na sauti ya mauzo.
“Mmesikia
sauti yangu si mbaya sana, hakika nisingekuwa Rais wa Nchi hii basi
nigekuwa msanii wa bongo fleva kama akina Ali Kiba, Diamond na wasanii
wengine wakali nikiuza album zangu kwani ningekuwa tishio kwa
kuimba…” alisema.

Rais
pia alimpongeza msanii maarufu nchini wa kizazi kipya mwenye mashairi
na misamiati ya maneno magumu, Mrisho Mpoto, kwa kumtaka kujibu bango la
walimu lililokuwa na ujumbe uliosomeka “Shemeji Unatuachaje??” ambapo alijibu kwa kusema kuwa “kuoa mwalimu nitabu kweli kweli haya nimesikia.”

Aliwapongeza
viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) nchini kwa
kumwalika Mpoto “Mjomba” .Mara nyingi amekuwa akitoa ujumbe mzito
kupitia fani yake ya muziki na mashairi lakini yakifikisha ujumbe bara
bara kwa wananchi katika sherehe mbalimbali za kitaifa na makongamano .

Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33