Talaka kutokana na utafiti zimeongeza kuanzia miaka
ya 1980, na watafiti wa mambo wanasema asilimia 70 ya talaka zote, wapenzi au
wanandoa huachana kwasababu ya
mambo yaliyokuwepo hata kabla hawajaoana.

Swali ni kwamba kwanini uliamua kuwa na mtu huyo?
Kwanini hamkusubiri mpaka kila mmoja wenu awe tayari? Watafiti hao wanasema
majibu ni rahisi sana, watu wengi huamua kwa matarajio badala ya kuangalia kile
kilichopo kwa muda huo wakiamini mtu huyo atabadilika na mambo yatakwenda
vizuri, inawezekana au isiwezekane!

Hakuna dalili ya uchumba yoyote ambayo imekusudiwa
kusababisha ndoa isiyo na furaha ila wanandoa wenyewe wana jukumu la kufanya
hivyo. Kabla ya kuvunja uchumba huo, lazima muongelee vitu vya msingi
vinavyosababisha uchumba huo kuvunjika au kuongea na washauri wenu kama mnao
kama hamna washauri mnaenda kichwa kichwa. Lengo la makala hii ni kutusaidia
kuwa na uelewa wa mambo fulani ya msingi ambayo tunaendelea kufanya makosa kila
siku;

Kunyanyaswa na kufanyiwa ukatili
Kama mwenzi wako aliwahi kukunyanyasa au kukufanyia
ukatili, uwe wa matendo, maneno au kihisia inawezekana ikawa moja ya sababu ya
kuachana naye. Hata kama hajawahi kukusababishia majeraha, lakini anaonekana
kukutawala au kuna matendo ya kutumia nguvu hiyo inaweza kukupelekea kuwa na
ugomvi ndani ya nyumba hivyo lazima uchukue tahadhari mapema. Namna ya
kushughulikia madhara ya ugomvi wa ndani ni magumu kuliko kuepukana nayo kabla
ya kuingia huko, kama amewasha taa nyekundu sasa kwanini ung’ang’anie kuingia?

Kutofanana kimalengo na aina ya tabia
Ingawa inasemekana kuwa hasi na chana mara zote
hukutana na kwenda pamoja bali kuna vitu vya msingi huwa vinarudisha nyuma
wapenzi wengi, kutokana na utafiti. Vitu hivyo ni kama hawana imani moja lazima
wapate shida kwenye ndoa yao kwa kuwa wanaamini vitu tofauti ambavyo vitaathiri
maisha yao ya kila siku na hata watoto watashindwa kujua waelekee wapi, hivyo
familia inakuwa haijatengamaa. Kuna vitu vidogo vidogo kama kutofautiana mambo
ya siasa, hivyo vinaweza kuyafanya mahusiano yetu kuwa yenye mvuto zaidi. Kuna
tabia ambazo kama unazichukia sasa na hujaweza kuziweka wazi usitegemee
zitaondoka ukifika ndani.

Kuwa na malengo tofauti
Kama mna malengo tofauti vile vile yataathiri maisha
ya ndoa. Kama kuna vitu ambavyo havina afya katika mahusiano kama uzembe na
uvivu hiyo ni dalili umechagua vibaya. Unatakiwa kuwa na mtu sahihi anayeendana
na malengo yako ya maisha , mkitofautiana tu ndani ya nyumba kutakuwa na
tofauti nyingi na za kutosha na mwisho wake talaka haitaepukika.

Kukosekana upendo
Ingawa inawezekana unafurahia muda unaotumia na
mwenzi wako mtarajiwa na kuonekana kumjali sana haimaanishi unampenda kama
mwenzi wa kuishi naye. Kama unaona wewe au mwenzi wako kuna udanganyifu, au
kukosa uaminifu kwa wazi kabisa inawezekana ni ishara ya kuvunja mahusiano
hayo.

Kutokuwa tayari kwa ajiri ya ndoa
Ndoa ni tendo la makubaliano kati ya wawili na kuwa
tayari kuwa na mtu kwa ajili hiyo. Kutokuwa na uhakika kwa kile unachohitaji
kwenye maisha yako kama fedha, hisia au kuridhika vitu ambavyo vinakuondolea
ujasiri wa kuendelea kwa ajili ya ndoa inakubidi tu muachanane ingawa
itakuumiza bali itawasaidia wote wawili baadaye.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33