Ni Mei 13, 2016 ambapo Mshindi wa BBA 2014 & Mchekeshaji, Idris Sultan aliungana na wakali wa kuchekesha kwenye show iliyopewa jina la Funny Fellas ambayo ilifanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam.

.Pichani:Mchekeshaji ambaye amekuwa akikubali sana hasa katika masherehe mbalimbali anaitwa Dogo Pepe
.
.Pichani ni Mshindi wa BBA 2014 & Mchekeshaji, Idri Sultan akitoa ucheshi wake kwa watu waliohudhuria kwenye show hiyo
MATUKIO MBALI MBALI YA KUVUNJA MBAVU YALIYOFANYWA NA IDRIS SULTAN,DOGO PEPE MASTAA WENGINE(+PICHA HAPA)
Related Posts
Add A Comment
Latest News
Subscribe for latest Tanzania news & updates.
© 2026 Masama Blog. Designed by Iqbal Tasif.