
Msanii wa bongo fleva Linah Sanga ambaye siku za karibuni amekiri wazi kuwa mapenzi yamemuathiri katika kazi yake ya sanaa na kufanya watu kufuatilia zaidi maisha yake ya mahusiano kuliko kazi zake amefunguka na kuweka sawa
kuwa hatoki kimapenzi na msanii Billnas.
Kupitia kipindi cha eNEWS tulitaka kufahamu ukaribu uliopo kati ya Linah Sanga na Billnas ndipo hapa Linah alipoweka wazi kuwa yeye kumpa support Bill Nas katika kazi yake mpya kwa kuiweka link ya ngoma ya Chafu pozi kwenye bio yake Instgram ni kwa kuwa anampa support msanii huyo na si jambo la ajabu kwa wasanii kupeana support lakini haina maana kuwa wanatoka kimapenzi.
“Billnas aliniomba niweke link yake wimbo wake baada ya kufanya video, hivyo kwa kuwa ni msanii mwenzangu niliamua kumpromote, mimi na Bill Nas imekuwa big dili lakini ni mambo ya kawaida kabisa ndiyo maana unaweza kuona msanii kama Vanessa Mdee anaweza kuweka link ya Weusi na hata Weusi wanaweza kuweka link ya Vanessa hivyo ni mambo ya kawaida” alisema Linah Sanga.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





