RAIS MAGUFULI KAARISHA ZIARA YAKE YA KWENDA NCHINI ZAMBIA,KISA HIKI HAPA

Admin Updates8 years ago5 Views


Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameahirisha ziara ya siku tatu ya kwenda Zambia ambapo pamoja na mambo mengine alikuwa ahudhurie sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule wa sita wa Zambia Edgar Chagwa Lungu.
Rais Magufuli amechukua huo uamuzi ili aweze kushughulikia madhara ya tetemeko la ardhi lililosababisha vifo vya watu 16, mamia wakiwa wamejeruhiwa na nyumba kadhaa kubomoka Kagera.
Rais Magufuli amemtuma Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan kumuwakilisha ambapo sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule wa sita wa Zambia zinatarajiwa kufanyika tarehe 13 September 2016 kwenye mji wa Lusaka.

Previous Post

Next Post

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.