U Heard ya XXL Clouds FM leo November 2, 2016 Soudy Brown amemvutia waya staa wa single ya Kidebe, Dogo Janja ambaye inadaiwa yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na staa mwingine wa kike Agness Masogange.
Dogo Janja amesema kuwa picha inayoonekana kwenye mitandao watu wameitafsiri tofauti tu wao walikua sehemu moja ila mpiga picha alipigia sehemu ambayo iliwaonyesha kama wako chumbani huku Dogo Janja akiangalia sehemu za nyuma za Agness.
“Masogange ni mshikaji wangu sana ni mtu wangu wa karibu watu wamezoea kuniona na marafiki wa kiume tu ni rafiki yangu na niko kwenye maongezi naye kuhusu kushoot video’ – Dogo Janja
“Unajua baada ya Kidebe nafikiria jinsi ya kurudi tena na wimbo wangu mpya, ukitoa mambo ya kikazi yule ni mshikaji wangu, Agness pale alikua amekaa tu sio kwamba alikua ananionesha makalio ila nisipomtamani yule nitakua na matatizo” – Dogo Janja
Kusikiliza full story bonyeza play hapa chini.

Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33