
Pamekuwa na minong’ono na ishara kuwa msanii wa bongo fleva mwenye asili ya Sweden mwanadada Saraha sasa anatoka kimapenzi na Big Jahman ambaye pia ni msanii wa bongo fleva, baada ya kuachana na producer Fundi Samweli.
Big Jahman alikanusha mbele ya Kamera ya eNewz na kusema kuwa Saraha ni zaidi ya familia kwake na wana sapotiana zaidi kwa upande wa muziki lakini hawana mahusiano yeyote ya kimapenzi na kwamba anaheshimu sana familia yake hivyo hawezi kuwa na mahusiano na Saraha.

Big Jahman
Hata hivyo Big amesema watu wanajiongeza kuwa yeye na Saraha wanamahusiano kwa kuwa ni mwanamke na yeye ni mwanaume lakini wanasapotiana tu kimuziki na si vinginevyo.
Mbali na hilo, jana feb 10, Fid Q alimtangaza rasmi Big Jahman kama msanii wa kwanza kwenye label yake ya cheusi Dawa. Utambulisho wake umeenda sambamba na kuachia kazi yake iitwayo Mabundi aliyowashirikisha Fid mwenyewe na Saraha.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





