Hii ni kwa Wale Wanaokurupuka Kutoka Asubuhi Bila Kunywa ChaI,Soma Hapa Ujue Faida za Kunywa Chai Asubuhi..!!!!

9 years ago97 Views

Je, ni mara ngapi umekuwa ukiondoka kwako asubuhi bila kunywa chai? naamini inaweza kuwa ni mara kadhaa lakini wengine ikawa ndio desturi yao kabisa kutokunywa chai asubuhi wanapotoka nyumbani kuelekea kwenye mishughuliko au masomo yao.

Sasa leo ninazo hizi faidia kadhaa za kunywa chai wakati wa asubuhi kabla hujatoka kwako.

1. Husaidia kuongeza uwezo wako wa kufikiriwa chai  zaidi ya vile ambavyo utatoka bila kunywa chai asubuhi. Hivyo kama wewe ni mwanafunzi au mfanyakazi ni vyema kuzingatia unywaji wa chai kabla ya kuanza shughuli zako za siku husika.

2. Unapokunywa chai unajipunguzia hatari ya kuzongwa na magonjwa mbalimbali hususani yale ambayo si ya kuambukiza.

3.Pia unapokunywa chai asubuhi husaidia kuboresha mahusiano mazuri kati yako na familia yako. Kwa sababu unapoamka na kukaa meza moja na watoto au mke au ndugu na kunywa chai huwezesha wanafamilia kujuzana machache kuhusu siku hiyo kabla ya upilika ‘ubuys’ wa siku hiyo kuanza.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.