Msanii wa nyimbo za injili nchini Emmanuel Mbasha amefunguka na kusema katika maisha yake yeye anamuamini Mungu hivyo hawezi kuishi maisha kwa kushindana na aliyekuwa mkewe au kufanya jambo ili kulipa kisasi kwake.
Mbasha alisema hayo jana alipokuwa kwenye kipindi cha Friday Night Live akitambulisha video yake mpya ‘Haleluyah’ na kusema yeye hawezi kulipiza kuoa haraka kama ambavyo aliyekuwa mkewe alivyofanya.
“Mimi ni mtu ambaye namuamini Mungu naishi maisha bila kulipiza na siwezi kulipiza kwani siishi kwa ajili ya kufanya mashindano, kama yeye alifanya akiamini kuwa yupo sawa na mimi siwezi kukurupuka kufanya hivyo ili watu wanione kuwa nimefanya hivyo, mimi nipo mwenyewe kama Mbasha ni ukweli ni kwamba sipo kwenye mahusiano yoyote kwa sasa” alisema Mbasha
Aidha Mbasha amesema kuwa waimbaji wengi wa nyimbo za injili ni watu ambao kweli wanamtumikia Mungu japo anakiri kuwa wapo watu wachache ambao ndiyo wamekuwa wakileta sifa mbaya kwa waimbaji wengine kutokana na matendo yao.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






