
Mwanamuziki na aliyewahi kuwa mpenzi wa muigizaji Irene Uwoya, Msami Baby amempongeza msanii mwenzake Dogo Janja kwa kufunga ndoa na muigizaji huyo huku akiwasifu kwamba wameweza kuwabadilisha watu kuhusiana na umri.
Msamii ametoa pongezi hizo leo kwenda kwa wawili hao baada ya Dogo Janja kukiri kwa kinywa chake kwamba tukio linaloonekana kwenye picha mbalimbali siyo kiki kama watu wanavyodhani bali ni ndoa kweli.
Msamii ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kwamba “Ndoa ni jambo la kheri sana, pongezi kwako Dogo Janja na Irene Uwoya mmefanya watu wajue umri ni ‘number’ tu ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi” aliandika Msami

Msami aliwahi kuwa kwenye mahusiano na muigizaji Irene Uwoya ambapo karibuni alipokuwa kwenye kipindi cha FNL kinachorushwa kila Ijumaa alipoulizwa kuhusu mahusiano yake na Uwoya alidai walishaachana na kudai kwamba Uwoya ndiye aliyemtongoza mpaka kufikia kuwa wapenzi.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






