Romy Jones Afunguka Kilichomsukuma Kumuoa Kijoli

7 years ago136 Views

Romy Jones Afunguka Kilichomsukuma Kumuoa Kijoli

OFFI­CIAL DJ wa mwana­muziki Nasibu Abdul ‘Dia­mond Platnumz’, Romeo Jones ‘Romy’ ameanika kilichomfanya aingie kwenye maisha ya ndoa na mkewe wa sasa aitwaye Kijoli.  Akizungumza na Mikito Nusunusu, Rommy alisema kuwa mkewe huyo alionesha uvumilivu mkubwa enzi za uhusiano wao na ndipo alipobaini kuwa, ndiye mwanamke sahihi wa kumpa heshima ya ndoa.

“Niliamua kuoa kwa sababu niliona uvumilivu wa mwanamke huyo kwani nilimfanyia madudu mengi lakini alinivumilia. Kuna wakati nilikua aondoka nyumba na kurudi baada ya siku tatu nikiwa nimelewa lakini alinivumilia, nikabaini huyu ndiye mwenye sifa ya kuwa mke wangu,” alisema Romy.


Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.