
Mama wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz Bi. Sandrah amefunguka na kumuongelea Mpenzi mpya wa Diamond anayejulikana kama Tanasha Donna Oketh mwenye ajili ya Kenya.
Wiki iliyopita Diamond alishangaza watu wengi Baada ya kutangaza ndoa na Mpenzi Wake Mpya Tanasha itakayofungwa 14 February 2019 ilihali alikuwa anadaiwa kuwa kwenye mahusiano na Kimnana.
Gazeti la Risasi Mchanganyiko linaripoti kuwa kumekuwa na taarifa za chini chini kuwa Mama Diamond hamtaki kabisa Tanasha kwa sababu alikuwa anamkubali Kim Nana ambaye alikuwa tayari kubadilisha dini na alikuwa kashaanza kufundishwa Quran tayari kwa ajili ya ndoa na Diamond.
Kwenye mahojiano na Gazeti la Risasi, Mama Diamond alianza kwa kukanusha habari kuwa alimkataa mrembo huyo na kwamba alikuwa anamtaka Kim Nana. Mama Diamond alisema anamkubali Tanasha kwa moyo mmoja wala hana kipingamizi naye na ikitokea mwanaye kweli anataka kumuoa, basi yupo radhi wala hana shida.
Sasa nimkatae amenikosea nini mtoto wa watu? Nani amesema nimemkataa mkwe wangu? Kama mwanangu amemuona anamfaa basi nipo radhi amuoe maana umri Wake unaenda na umri wa kumuoa ndio huu”.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






