Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchi wa siku nyingi , Chidi Benz amfunguka na kusema kwamba mashabiki na watu wa media wamekuwa wakikosea sana pale wanapotaka kuwapaisha wasanii wasio na uwezo mkubwa na kuwaacha wale wenye vipaji vikubwa ni kibaya, kwani ni sawa na kumuua mtu.
Akiongea katika mahojiano na radio moja, Chid alitolea mfano kati ya wasanii wawili wa Bongofleva Alikiba na Jux, Chidi Benz amesema kwamba iwapo utampaisha Jux zaidi na kumuacha Alikiba, ni sawa na kumuua Alikiba kiakili, kwani wawili hao hawawezi kulinganishwa kulingana nauwezo mkubwa laionao Alikiba.
anasema “Jux sio msanii mkali, wanachomfanyia hawamfanyii hata Alikiba, mnamuua Alikiba kwa mawazo, mnachamnganya Alikiba kiakili, mnamtengua Alikiba kikazi, anakuwa anamuwaza waza Jux, watu wanamuangalia Jux, mnawaua waimbaji”, amesema Chidi Benz.
Kutokana na hilo Chid Benz amewataka kusapoti kazi za watu wenye vipaji kweli na kuacha kubagua kwa sababu yoyote ile, ili game iweze kukua zaidi na kuokoa wasanii wenye uwezo kutoanguka.
from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2DOZRJS
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







