Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira na Muungano, January Makamba
amesema alipata nafasi ya kwenda Afrika Kusini kumuona Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi
Clouds Media Group, Ruge Mutahaba.
Kwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 kinachoruka Clouds TV ambapo ameeleza
Madaktari wanaomtibu Ruge wamempa jina la mpambanaji kutokana na namna anavyoumwa.
“Mimi nilipata nafasi ya kwenda South Afrika, nikaamua nikawaone madaktari wake, wamempa
jina wanamuita ‘RUGE THE FIGHTER,” amesema Waziri Makamba.
Katika hatua nyingine, amesema Sheria ya Makosa ya Mitandao ya Mwaka 2015, hakuhusika katika mchakato wa utungwaji kwa sababu alikuwa Naibu Waziri Mawasiliano, na mchakato ulihusisha wataalamu wa wizara, makatibu wakuu, mawaziri, na yeye hakuwa miongoni mwa makundi hayo.
from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2TWOOFc
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







