Mrisho Mpoto Afichua Siri “Ruge Ndio Aliniambia Niwe Natembea Peku”

7 years ago119 Views

Mrisho Mpoto amesema Ruge Mutahaba ndie aliemuambia awe anatembea peku ili aonekane tofauti “Aliniambia tayari wewe unaimba mashairi je unataka watu wakupambanuaje?, nikamwambia nitavaa magunia akasema sawa hiyo haitoshi ongezea nyingine”.

“Ni Ruge aliyenitengeneza mimi kuwa tofauti kwa mashairi yangu, mwanzoni nilikuwa naimba tu kikubwa zaidi alinitengeneza yaani kuni-brand” MRISHO MPOTO

from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2IqzFuy
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.