
Saa chache baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kumuachia kwa dhamana Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe, na Mbunge wa Tarime Mjini Ester Matiko, viongozi hao wameshindwa kuzungumza chochote.
Akizungumza Jijini Dar es salaam, Naibu Katibu Mkuu (CHADEMA) Zanzibar Salum Mwalimu amesema kwa sasa viongozi hao hawawezi kuzungumza chochote baada ya kukaa rumande kwa miezi mitatu hivyo wanachofanya sasa ni kupatiwa maelezo kuhusu muenendo wa chama hicho.
“Hukumu ni hukumu ingawaje tulijua tutashinda, lakini tunamshukuru Mungu kwa kilichotokea, itakuwa jambo la ajabu sana kusema Mwenyekiti na Matiko walikuwa wamejipanga kuongea.”amesema Mwalimu
“Miezi mitatu si midogo, ukitoka muda huu kichwa kinakuwa kinataka kila jambo, kwa hiyo naomba tuwape muda kidogo na mwishoni mwa wiki hii tutazungumza na waandishi wa habari.” ameongoza Mwalimu
Mbowe na Matiko walikataa rumande kwa zaidi ya miezi mitatu baada ya kunyimwa dhamana na mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Novemba , 2018.
from MALUNDE 1 BLOG https://ift.tt/2tWaOVb
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





